Umati wa watu waliofurika katika uwanja wa Mwembe yanga katika Tamasha la mchizi wangu Concert
Msaga sumu akitumbuiza mbele yamashabiki wa Viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam Katika Tamasha la Mchizi Wangu Concert
Majid Migoma akitumbuiza katika Tamashalamchiz wangu Concert
Msaga sumuakiendelea kuwapa raha wakazi wa Temeke
Wacheza shoo muziki wasingelei wakifanya yao jukwaani
Dula Makabila akitumbuiza mbele ya wakazi wa Temeke Mwembeyanga
No comments:
Post a Comment