Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
JESHI
la Polisi mkoa wa Kilimanjaro limetaja majina ya watu 47 wanaotuhumiwa
kuhusika katika kusafirisha,kuuza na kutumia dawa za kulevya huku
likifanikiwa kukamata misokoto 269 na miche 13 ya Bhangi,pamoja na
kilogramu 32.9 za mirungi pia ikikamatwa.
Kukamatwa
kwa watuhumiwa hao pamoja na dawa hizo za kulevya kunatokana na msako
mkali uliofanywa na kikosi maalumu cha jeshi hilo kwa muda wa siku nne
katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kilimanjaro .
Akitangaza
majina hayo ofisini kwake ,Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro
,Kamishna Mwanadamizi Msaidizi wa Polisi,Wibroad Mutafungwa alisema
watuhumiwa hao tayari wamekamatwa na wako katika hatua mbalimbali za
kiupelelezi na taratibu zikikamilika watafikishwa mahakamani.
Miongoni
mwa watuhumiwa 47 wamo watoto wawili waumri wa miaka 17 ambao ni
Wilfred Mnubi mkazi wa Bomang’ombe wilaya ya Hai na Ruben Bakari mkazi
wa Njoro katika manispaa ya Moshi.
Kati ya watuhumiwa hao wanawake ni 15 na wanaume ni 32 akiwemo mzee mwenye umri wa miaka 60,Christina Ferdinand.
“Vita
hii tumeianza tangu mwaka juzi,tunajua vita hii ni kubwa bahati nzuri
ni kwamba njia wanazotumia wafanyabiashara wa dawa za kulevya husani
mirungi na bhangi ,tayari jeshi la polisi limezibaini,maeneo ambayo dawa
za kulevya zimekithiri Jeshi la polisi limekwisha baini ,operesheni hii
ambayo tumeianza ni endelevu na tutaendelea kuwakamata watu hawa kwa
kutumia mbinu zote tulizonazo.”alisema Mutafungwa
Waliotajwa
na kushikiliwa na jeshi la Polisi ni pamoja na:
(1)
Juma
Kabwele(25).
(2)
Mohaed
Kabwele (29) .
(3)
Shabani
Mponda(39).
(4)
Khadija
Mushiri(27).
(5)
Veronika
Chuwa (39).
(6)
Mwanahamis
Hussein.
(7)
Yusuph
Issa(42).
(8)
Salim
Massawe(48).
(9)
Hadija Mohamed(50).
(10)
Shenein
Abilah(41).
(11)
Husna
Mgonja(24).
(12)
Najima
Desouza (46) .
(13)
Ruben
Bakari (17) .
(14)
Paul
Kisoka (26).
(15)
Raphael
Mbuya (40).
(16)
Wilfred
Mnubi(17).
(17)
Athuman
Swaehe (35).
(18)
Joseph
Hamis(20).
(19)
Zuber
Temu(27).
(20)
Robert
Kitika (18) .
(21)
Mohamed
Juma (25).
(22)
Ahmad Shaban (57).
(23)
Donas
Masashua(22).
(24)
Japhet
Tungai (46).
(25)
Asima
Mndeme (24).
(26)
Muutaz
Zalia ,
(27)
Noah
Singano (29).
(28)
Ramadhan
Masale (40) .
(29) Kirambati
Swai(45).
(30) Said
Mrii.
(31) Erick
Henry (20).
(32) Seif
Ally(20).
(33) Ramadhan Hassan (36).
(34) Victor
John(22).
(35) Upendo Endkia (42).
(36) Asia
Ally(39).
(37) Catherine
Linusi (36) .
(38) Mariam
Hemed (44) .
(39) Mwajuma
Msuya (48).
(40) Juma
Yusuph (22) .
(41) Hussein
Anyokisye (17).
(42) Musa
Msangi (30).
(43) Ramadhani
Hassan (36).
(44)
Wilfred
Munubi(17)
(45) Ruben Bakar.(17)
(46) Christina
Ferdinand.(60)
(47) Samweli
Kingai(42).
No comments:
Post a Comment