HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 5, 2017

WAZIRI MKUU AWATAKA WANANCHI WA HALIMASHAURI YA MADABA WILAYA YA SONGEA KULINDA VYANZO VYA MAJI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo ya mradi wa maji kutoka kwa mkurugenzi wa Halimashauri ya Madaba Bwana Safi Mpenda Waziri Mkuu ameuzindua mradi huo ambao umejengwa katika kijiji cha Magingi wilaya ya Songea mradi ambao unauwezo kutoa lita laki mbili na kuhudumia zaidi ya watu alfu tano
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimtwisha ndoo ya majai Bibi Leonara Kibuno ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mradi huo ambao umejengwa katika kijiji cha Magingi wilaya ya Songea mradi ambao unauwezo kutoa lita laki mbili na kuhudumia zaidi ya watu alfu tano katika Halimashauri ya madaba Songea
Waziri mkuu Kassim Majaliwa akiwa hutubia wananchi wa halimashauri ya Madaba.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimtwisha ndoo ya majai Bibi Leonara Kibuno ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mradi huo ambao umejengwa katika kijiji cha Magingi wilaya ya Songea mradi ambao unauwezo kutoa lita laki mbili na kuhudumia zaidi ya watu alfu tano katika Halimashauri ya madaba Songea
Picha na Chris Mfinanga

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad