Waziri Mkuu Mkuu Kassim Majaliwa akiwahutubia wananchi wa madaba amabao waliojitokeza jitokeza kwawingi amabapo waziri mkuu alitumia nafasi hiyo yakuwaelezea juhudi za serekali za kuwasaidia wananchi katika sekta mbali mbali ikiwemo Huduma ya bima ya afya Waziri mkuu yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Sophia Mgeni ambaye ametoka kujifungua mtoto wa kike Waziri mkuu alitembelea Zahanati ya Madaba iliyopo wilaya ya Songea ilikuweza kuwasikiliza wagonjwa katika zahanati hiyo Waziri mkuu yupo Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kukagua shughuli za maendeleo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wauguzi wa zahanati ya Madaba amewataka waendele na moyo waliokuwa nao wakuwapenda wagonjwa na kuwahudimia kwani serekali inatambua mchango wao wanaoutoa kwa taifa. Picha na Chris Mfinanga

No comments:
Post a Comment