Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akihutubia leo wakati wa kufungua baraza la ushauri (RCC) Mkoa wa Dodoma ambapo lilishirikisha Wizara, Idara na Wadau mbalimbali wanaoratibu ujio wa Serikali kuhamia Makao makuu Dodoma Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Chuo cha mipango ya Maendeleo Vijijini Dodoma ( Picha na PMO)
Monday, January 30, 2017
WAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA RCC MKOA WA DODOMA
Tags
# HABARI MCHANGANYIKO
HABARI MCHANGANYIKO
Labels:
HABARI MCHANGANYIKO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment