Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Emanuel Nchimbi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazili, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Januari 20, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt.
James Msekela kuwa Balozi wa Tanzania Geneva –Umoja
wa Mataifa, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Januari 20, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Mbelwa
Kairuki kuwa Balozi wa Tanzania nchini China, Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 20, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. George
Madafa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia leo Ijumaa Januari 20, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa
Elizabeth Kiondo kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki leo Ijumaa Januari 20, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Fatma
Rajab kuwa balozi wa Tanzania nchini Qatar, Ikulu
jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Januari 20, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza machache baada ya kuwaapisha mabalozi hao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Januari 20, 2017. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment