Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwahutubia Viongozi Wakuu wa Mataifa mbalimbali hawapo
(pichani) katika Jengo jipya la Kituo cha Amani na Usalama kilichopewa jina
Rasmi la Mwalimu Julius Nyerere, Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara
baada ya kutangazwa rasmi kwa Jina la Mwalimu Julius Nyerere katika kituo hicho
cha Amani na Usalama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati
wakielekea katika Kituo cha Amani na Usalama cha Makao Makuu ya Umoja wa Afrika
kilichopewa jina la Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere, Addis
Abba nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na viongozi wa
mataifa mabalimbali wakiwa katika picha ya pamoja katika jengo jipya la kituo
cha Amani na Usalama (JULIUS NYERERE) lililopo
katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika Addis Ababa nchini Ethiopia. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment