Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Antonio Manuel Olveira Guterres wakati alipokuwa kwenye mojawapo ya
vikao vya Umoja wa Afrika (AU) vinavyofanyika katika Makao makuu yake
mjini Addis Ababa nchini Ethipia. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga.
Sunday, January 29, 2017
Home
HABARI
IKULU
KIMATAIFA
RAIS MAGUFULI
RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA KIKAO CHA UMOJA WA AFRIKA (AU) MJINI ADDIS ABABA ETHIOPIA
RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA KIKAO CHA UMOJA WA AFRIKA (AU) MJINI ADDIS ABABA ETHIOPIA
Tags
# HABARI
# IKULU
# KIMATAIFA
# RAIS MAGUFULI
RAIS MAGUFULI
Labels:
HABARI,
IKULU,
KIMATAIFA,
RAIS MAGUFULI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment