Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Hii itakuwa mechi ya tatu kwa Yanga na Azam kukutana kwenye Kombe la Mapinduzi ikiwa ni mechi ya kwanza kwa benchi la Yanga linalokuwa chini ya George Lwandamina na Azam ikiwa chini ya Abubakari Cheche.
Jumla timu hizi zimekutana mara 27 kwenye mashindano yote. Yanga imeshinda mara 10, Azam imeshinda mara 9 na zimetoka sare mara 8. Yanga wamefunga mabao 37 na Azam wamefunga mabao 34.
MAPINDUZI CUP:
Fainali 2012: Azam FC 3-0 Yanga
Makundi 2016: Yanga 1-1 Azam FC
LIGI KUU - mara 17
Yanga wameshinda 5
Azam wameshinda 5
Wametoka sare 7
Yanga wamefunga mabao 25
Azam wamefunga mabao 25
KAGAME CUP- mara 2
2012: Yanga 2-0 Azam
2015: Yanga 0-0 Azam (pen. 3-5)
NGAO YA JAMII - mara 4
2013: Yanga 1-0 Azam
2014: Yanga 3-0 Azam
2015: Yanga 0-0 Azam (pen. 8-7)
2016: Yanga 2-2 Azam (pen. 1-3)
MAPINDUZI CUP - mara 2
2012: Yanga 0-3 Azam
2016: Yanga 1-1 Azam
MECHI YA HISANI KUCHANGIA WALEMAVU - mara 1: 2011
Yanga 0-2 Azam
FA CUP- Mara 1
Yanga 3-1 Azam
WAFUNGAJI WANAOONGOZA
1. John Bocco:
Mabao 12.
ligi kuu 10
mapinduzi Cup 1 (2012)
mechi ya hisani kuchangia walemavu 1 (2011)
2. Kipre Tchetche
Mabao 8
Ligi Kuu 5
Mapinduzi Cup 3 (2012 mawili, 2016 moja)
3. Didier Kavumbagu
Mabao 5
Ligi Kuu 4( Yanga 3, Azam 1)
FA Cup 1 (2016)
4. Hamis Kiiza:
Mabao 5
Ligi Kuu 4
Kagame Cup 1 (2012)
5. Boniface Ambani
Mabao 4
Yote ligi kuu


No comments:
Post a Comment