Usiku wa kuamkia mwaka mpya wa 2017 Bw. Wasia na Bi. Laila walifanya RECEPTION ya Harusi yao kwenye Ukumbi wa Taj Hall ulioko Savoy Drive jijini Houston, TX. Pichani ni maharusi hao wakifungua muziki. endelea kuangalia picha zaidi hapo chini
Newly Wed Mr. Wasia akiwa na Mkewe Bi. Laila na kijana wao Zion
Lovely couple.
Zion akiwa na Baba na Mama.

No comments:
Post a Comment