HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 5, 2017

DC WA MBULU AAGIZA KUKAMATWA KWA MTENDAJI WA KIJIJI CHA GIDMADOY KWA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA UMMA

 Mkuu wa wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga  akizungumza na wananchi wa kijiji cha Gidmadoy baada ya kusikiliza mgogoro wa mapato na matumizi uliodumu tangu 2014 hadi 2016. Mkuu wa wilaya aliagiza kukamatwa mtendaji wa kijiji ambaye alihamishwa kinyume cha utaratibu kukimbia madeni na kumweka ndani masaa 48. Pia mkurugenzi aliagizwa kukagua taarifa ndani ya siku saba na kuleta taarifa kwa wananchi. Pia mkurugenzi aliagizwa kutuma watalaam wa ardhi kukagua maeneo yaliyopimwa na kulalamikiwa na wananchi. Wananchi walikiri hawajawahi kutembelewa na Mkuu wa wilaya au kiongozi wa wilaya tangu kuanzishwa kwa kijiji hicho kwake
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mkuu wa wilaya Mbulu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad