Baada ya kukalia benchi kwa kipindi kirefu bila kudaka hatimaye benchi la ufundi la timu ya Simba limeamua kumuamini na kumpatia nafasi golikipa kijana Peter Manyika aliyewika msimu wa 2014/2015 na timu hyo.
Hii inakuwa ni mechi yake ya kwanza toka kusajiliwa kwa golikipa Vicent Angban aliedaka nusu msimu 205/2016 aliyebwagiwa manyanga na nafasi yake kuchukuliwa na mghana Daniel Aggey
1. Manyika Peter
2. Javier Bokungu
3. Mohammed Zimbwe
4. Abdi Hassan Banda
5. Method Mwanjale
6. Jonas G Mkude
7. Shiza R Kichuya
8. Muzamir Yasini
9. Laudit Mavugo
10. Juma Luzio
11. Pastory Athanas
Sub
1. Denis Richard
2. Vicent Costa
3. Novart Lufunga
4. Said H Ndemla
5. Hijja Ugando
6. Jamal Mnyate
7. Mosses Kitandu.


No comments:
Post a Comment