Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya mkeka kutoka kwa wananwake wa Ruangwa katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya Ruangwa Desemba 30, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Ruangwa wakati
alipowasili kwenye uwanja wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo kuhutubia
mkutano wa hadhara Desemba 30, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya Ruangwa Desemba 30, 2016.
Baadhi
ya wananchi wa mji wa Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ofisi
ya CCM ya wilaya hiyo mjini Ruangwa Desemba 30, 2016.
Baadhi
ya wananchi wa kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa wakigalagala
kuonyesha furaha katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya Ruangwa,
Desemba 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:
Post a Comment