HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 28, 2016

WAKINA MAMA WA KINYAKYUSA WAKISEREBUKA WIMBO WAO WA KINYAKYUSA...

Pichani ni akina mama wa kinyakyusa wakiserebuka kwa wimbo wao wa kinyakyusa kwenye moja ya Hafla yao huko jijini mbeya.
Mama wa Kinyakwusa akiwa amezama ndani ya hisia zake kucheza wimbo wao wa kinyakyusaa kwa staili ya aina yake huko jijini mbeya.
Wimbo huo ukiendelea kuteka hisia za Akina mama hao katika moja ya kumbi za sherehe Jijini Mbeya.
Rahaa kweli kweli.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad