HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 29, 2016

WAENDESHA BODABODA 108 WAJIUNGA NA NSSF MJINI MUSOMA, MARA

Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde(katikati), akikabidhi pikipiki zilizotolewa na Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, kwa waendesha Bodaboda mjini Musoma na kudhaminiwa na NSSF, jumla ya waendesha bodaboda 108 walijiunga na NSSF, Mbunge huyo alitoa pikipiki 5 kwa waendesha bodaboda hao.
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde akizungumza wakati wa Semina iliyoandaliwa na Mbunge wa Viti Maalimu Mkoa wa Mara, Agnes Marwa kwa waendesha Bodaboda mjini Musoma na kudhaminiwa na NSSF, jumla ya waendesha bodaboda 108 walijiunga na NSSF, Mbunge huyo alitoa pikipiki 5 kwa waendesha bodaboda hao.
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde akimkabidhi kadi ya uanachama wa NSSF kwa mmoja wa waendesha bodaboda wa mjini Musoma.
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde akimkabidhi kadi ya uanachama wa NSSF kwa mmoja wa waendesha bodaboda wa mjini Musoma, Emmanuel Lucas wakati wa Semina juu ya kujiunga na mfuko huo, iliyoandaliwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara, Agnes Marwa na kudhaminiwa na NSSF, jumla ya pikipiki 5 zilitolewa kwa waendesha bodaboda hao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad