HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 21, 2016

TABIA MBOVU UCHAFUZI WA MAZINGIRA MBELE YA WATOTO....

Pichani kamera yetu ilipokuwa ikiangazia huko mtaani ilikumbana na taswira hii isio faa hata kwa kuigwa na jamii, Ona hapo mwenyewe mtu mzima ovyooo akijipatia mariwato huku watoto waki mnukuu na kumuiga hicho akifanyacho ambacho pia si rafiki na mazingira yetu, Hiki ni kijipu upele tena kimeivaa wahusika wa mambo hayaa mitaani huku vibao vilipotea nini au zile faini za kwanza kwanza zimewatosha.
Unahisi watoto hawa wanajifuza nini hapo juu ya tabia hii mbaya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad