Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim (kushoto), akisalimiana na Ofisa Uhusiano NSSF, Kiamba Rajab, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kudhibiti Magonjwa Yasiyo Ambukiza na kudhaminiwa na NSSF. Katikati ni Ofisa Matekelezo wa NSSF, Abeid Abdulaziz
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akisoma vipeperushi vinavyoelezea taarifa za mfuko wa NSSF alipotembelea banda la shirika hilo.
Maofisa wa NSSF wakimsikiliza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akizungumza na maofisa wa NSSF alipotembelea banda lao.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim (wa tatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja.
Maofisa wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja katika banda lao. Kutoka kushoto ni Ofisa Matekelezo, Abeid Abdulaziz, Ofisa Mwandamizi Uhusiano na Masoko, Amina Mmbaga, Ofisa Uhusiano na Masoko, Kiamba Rajab.
Wananchi wakiwa katika banda la NSSF.
Ofisa Mwandamizi Uhusiano na Masoko wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Amina Mmbaga (wa pili kulia), akitoa ufafanuzi kwa watu waliojitokeza katika banda la NSSF.
Kiamba Rajab akimwandikisha mwanachama mpya wa NSSF.
Wanachama wakiandikishwa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akiwa ameongozana na Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Amina Mmbaga.
No comments:
Post a Comment