Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kushoto)akiongea jambo na mmoja wa washindi kati ya 100 waliojishindia kitita cha shilingi Milioni 1/-na 182 waliojishindia shilingi laki 1 kila mmoja kupitia droo ya Promosheni ya”Nogesha Upendo” leo jijini Dar es Salaam inayowawesha wateja wa kampuni hiyo kujishindia muda wa maongezi,Vifurushi vya intaneti pamoja na fedha taslimu pindi wakijiunga na kifurushi chochote cha mtandao huo ,Anayeshuhudia ni Mosi Nasoro.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Mosi Nasoro(kulia)akimshuhudia Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo,Matina Nkurlu akiwaonyesha namba ya simu ya mmoja wa washindi kati ya 100 waliojishindia kitita cha shilingi Milioni 1/-na 182 waliojishindia shilingi laki 1 kila mmoja kupitia droo ya Promosheni ya”Nogesha Upendo”inayoendeshwa na kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam inayowawesha wateja wake kujishindia muda wa maongezi,Vifurushi vya intaneti pamoja na fedha taslimu pindi wakijiunga na kifurushi chochote cha mtandao huo.



No comments:
Post a Comment