HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 24, 2016

MDAU ZUBEIR IMAN ALIKACHA KUNDI LA MAKAPERA KWA KUAMUA KUUNDANA NA BI. ZAWADI MOHAMED JIJINI DAR

 Bw. Harusi Zubeir Imani akimfunua ushungi mkewe, Bi. Zawadi Mohamed baada ya kumeremeta, katika hafla iliyofanyika nymbani kwao, Mbagala Chamazi, jana Desemba 23, 2016.
 Maharusi wakikalibishwa nyumbani kwa shangwe na vigelegele.
 Bw. Harusi Zubeir Imani na mkewe, Bi. Zawadi Mohamed wakiwa na nyuso za furaha, baada ya kumeremeta.
 Bw. Harusi Zubeir Imani akishikana Mkono na Baba Mkwe wake wakati wa kufungishwa ndoa.
 Bw. Harusi Zubeir Imani akipongezwa na Baba yake, Mzee Imani Mpangule baada ya kumalizika ka ibada ya ndoa.
 Bw. Harusi akipongezwa na marafiki zake.
Dufu zikipigwa kusherehesha shughuli hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad