
Beki wa Timu ya African Lyon, Bakari Jaffary akiruka juu na kuchukua mpira mbele ya Mshambuliaji wa Timu ya Azam Fc, John Bocco, katika Mchezo wa muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ni Mzunguko wa pili, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya ya bila kufungana 0-0.

Mshambuliaji
wa Timu ya Azam Fc, Yahaya Mohamed akiutulisha mpira mbele ya Mabeki wa
Timu ya African Lyon, katika Mchezo wa muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania
Bara ikiwa ni Mzunguko wa pili, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa
Taifa, Jijini Dar es salaam. Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya ya
bila kufungana 0-0.

Beki
wa Azam Fc, Aggrey Moris akijaribu kutaka kuuzuia mpira uliokuwa
umeelekezwa langoni kwao, katika Mchezo wa muendelezo wa Ligi Kuu
Tanzania Bara ikiwa ni Mzunguko wa pili, uliochezwa jioni ya leo katika
Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu
ya ya bila kufungana 0-0.


No comments:
Post a Comment