HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 16, 2016

MASHTAKA MATATU YAMKABILI MMILIKI WA JAMIIFORUMS LIKIWEMO LA KUENDESHA TOVUTI AMBAYO HAIJASAJILIWA NCHINI

 Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo akiongozwa na Askari Polisi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es salaam leo, kusomewa mashtaka yanayomkabili. habari kamili itakuja hivi punde.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad