Kaimu
Mganga Mkuu wa Serikali, Prof Ayoub Magimba, akizungumza na wadau
mbalimbali wa afya juu ya Ujenzi wa vyoo bora hauna budi
kuzingatia mahitaji muhimu ya mtoto wa kike hasa anapokuwa kwenye hedhi
kutokana na takataka zinazotokana na hedhi ni taka hatarishi ni vyema
zikadhibitiwa hayo yamesemwa katika mkutano wa
kujadili suala la hedhi salama, leo jijini Dar es Salaam.
Wadau
mbalimbali wa afya wakimsikiliza Kaimu
Mganga Mkuu wa Serikali, Prof Ayoub Magimba katika mkutano wa kujadili suala la hedhi salama, leo
jijini Dar es Salaam.
Wadau
mbalimbali wa afya wakiwa katika mkutano
huo leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii
No comments:
Post a Comment