Walter Chilambo ni msanii maarufu nchini Tanzania, na alipata umaarufu baada ya kushinda mashindano ya Bongo Star search (BSS) wimbo huu ni wa kwanza wa gospel, na angependa support kutoka kwa Watanzania pamoja na Africa Mashariki.
Tazama nyimbo yake mpya hapa chini
No comments:
Post a Comment