Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla leo amefunga na na viongozi wa dini kukagua ujenzi wa uwanja wa Ndege wa kimataifa was Songwe na kupata maelezo YA uendeshaji wa shughuli ktk uwanja huo
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla leo amefunga na na viongozi wa dini kukagua ujenzi wa uwanja wa Ndege wa kimataifa was Songwe na kupata maelezo YA uendeshaji wa shughuli ktk uwanja huo
 Uwanja huo ni mkubwa na una uwezo wa Ndege kubwa kama Airbus kutua na Ndege za mizigo zenye uwezo wa kubeba tani 500 hivyo itasaidia kusafirisha Maua , matunda   Na mbogamboga nje YA nchi moja kwa moja kutokea uwanja wa Ndege Songwe
 
No comments:
Post a Comment