Hadi sasa Mikoa iliyo thibithisha kushiriki shindano la Taifa Cup mpira wa kikapu katika jiji la Arusha kuanzia tarehe 1-10 December 2016.
1. Arusha timu 3
2. Manyara timu 1
3. Tanga timu 2
4. Kilimanjaro timu 1
5. Singida timu 1
6. Dodoma timu 2
7. Shinyanga Timu2
8. Mwanza timu 2
9. Mara timu 1
10. Kigoma timu1
11. Katavi timu 1
12. Rukwa timu 1
13. Iringa timu 2
14. Mbeya timu 2
15. Lindi timu 2
16. Mtwara timu 1
17. Pwani timu 2
18. Dae es salaamm timu 2
19. Unguja timu 2
20. Pemba timu 1
21. Morogoro timu 2
22.Kagera timu 1
23.Tabora timu 1
24.Geita timu 1
No comments:
Post a Comment