Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya (kushoto) akiwa katika Mazungumzo na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari (kulia) wakati alipotembelea kituo hicho kuzungumzia fursa za uwekezaji nchini, leo Novemba 8, 2016.

Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari akimuonyesha Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya moja ya vyeti vya uwekezaji vinavyotolea pindi muwekezaji anapokuwa amekalisha taratibu zote.
Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya akizungumza jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari.
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari akiagana na Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya mara baada ya mazungumzo yao.
No comments:
Post a Comment