Taarifa iliyoifikia asubuhi hii, inaeleza kuwa Bondia Thomas Mashali amekutwa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo na mwili wake kukutwa maeneo ya Kimara, Jijini Dar es salaam. akithibitisha kutokea kwa kifo cha mwanamasumbwi huyo, Bondia Abdallah Pazi (Dullah Mbabe) amesema Mashali amefikwa na umauti huo usiku wa kumkia leo kwa kudaiwa kupigwa mpaka kuuawa na watu wasiojulikana kwa tuhuma za wizi.
Monday, October 31, 2016

ILIYOTUFIKIA HIVI PUNDE: BONDIA THOMAS MASHALI AFIKWA NA MAUTI LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment