Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota Bw. George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.




Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana
na Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe
Paul Makonda, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Ali Hapi na viongozi
wengine akitembelea eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.
Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota Bw. George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.
Kiongozi wa wakazi wa nyumba za Magomeni Kota Bi Mwajuma Sama akiongea machache na kuomba dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru wakili Twaha Taslima wa Law Chambers kwa kusimamia vyema maswala ya mgogoro wa eneo iliyokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment