HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 16, 2016

WALE WAPIKA CHIPS KWA MAFUTA YA TRANSFOMA SASA NI MARUFUKU

Serikali kupitia kwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo imepiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa ajili ya kukaangia chips na kutengeneza mikorogo.

Profesa Muhongo ameyasema hayo alipokuwa akihutubia wakazi wa kijiji cha Kirongo wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa katika ziara ya kukagua miradi ya umeme  vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika mkoa huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad