Muigizaji wa filamu nchini, Jackieline Wolper akiwa sambamba na Mwanamitindo, Martin Kadinda pamoja na Mdau wakiyasakata magoma katika hafla hiyo, iliyofanyika jana kwenye Kiota cha Akemi, Jijini Dar es salaam.


Malkia
wa Mipansho na Mwanamuziki Mkongwe wa Taarab, Bi. Khadija Kopa
akizikonga nyoyo za mashabiki wake waliohudhulia hafla ya uzinduzi wa
bidhaa mpya ya Mafuta ya nywele aina ya Aliyana ya Kampuni ya Darling
Group, iliyofanyika jana kwenye Kiota cha Akemi, Jijini Dar es salaam.
Msema Chochote katika hafla hiyo, Baby Kabaye akiweka taratibu sawa.

Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Leah Kihimbi akizungumza kwa niaba ya Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa bidhaa mpya ya Mafuta ya nywele aina ya Aliyana ya Kampuni
ya Darling Group, iliyofanyika jana kwenye Kiota cha Akemi, Jijini Dar
es salaam. 
Wawakilishi Kampuni ya Darling wakingumza kuhusiana na bidhaa yao hiyo mpya.














































No comments:
Post a Comment