Mnadhimu mkuu wa Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania Luteni Generali Venance mabeyo
akisalimiana na wachezaji wa timu ya Soka ya Tanzania wakati wa mchezo wa mwisho dhidi ya Rwanda
Tanzania ilifungwa bao 1-0 na kushika nafasi ya tatu
Mwanariadha Siata Kalinga akipokea kikombe cha mshindi wa tatu kwa riadha wanawake kutoka kwa Naibu Mkuu wa Majeshi wa Uganda Luteni Jenerali Charles Angina.
Viongozi waandamizi wa majeshi waliowakilisha wakati wa sherehe za kufungwa mashindano ya Majeshi kwa nchi za Afrika Mashariki, yaliyokuwa yakifanyika Mjini Kigali nchini Rwanda kutoka kulia ni mkuu wa majeshi wa Rwanda Jenerali Patrick Nyamvumba, akifuatiwa
na Mkuu wa majeshi wa Kenya Jenerali Samson Mwathethe, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ
Luteni Jenerali Venance Mabeyo pamoja na Naibu Mkuu wa Majeshi wa Uganda Luteni Jenerali
Charles Angina. (picha na Selemani Semunyu)
No comments:
Post a Comment