HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 16, 2016

MBINU MPYA YA BODABODA KUKWEPA KUVAA KOFIA NGUMU (HELMENT)

Kama kama, kama dawa. leo katika katiza katiza si ndio Kamera yetu ikaunasa usafiri huu mwanana wenye sifa ya kufika haraka popote iendako. ila cha kufurahisha ni pale dereva na abiria wake wanapojiachia vichwa wazi huku kofia ngumu ikiwa imevalishwa kwenye Taa ya chombo husika kama ionekanavyo hapa au ndio mbinu mpya hii. hivi kwani ile kampeni ya kukamata wasiovaa kofia hizo ngumu, hawa itawakosa kweli??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad