
Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 5/=kupitia promosheni ya”Kamata Mpunga” inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Mkazi wa Goba jijini Dar es Salaam,Serena Sanga ambaye ni mfanyakazi wa ndani,akionesha kitita chake kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa washindi mbalimbali vitita vyao mwisho mwa wiki. Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO”kwenda namba 15544 aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali.
Mkuu
wa Mauzo na Usambazaji kanda ya Dar es Salaam wa Vodacom
Tanzania,Domician Mkama(kulia)akimpongeza mkazi wa Mwananyamala jijini
Dar es Salaam,Evans Mwenewanda(wapili kushoto)wakati wa hafla ya
kumkabidhi kitita cha Shilingi Milioni 5/= alichojishindia kupitia
promosheni ya”Kamata Mpunga” inayoendeshwa na kampuni hiyo,Kushoto ni
Ofisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo,Prestin Lyatonga na mshindi
mwingine wa shilingi Milioni 5/=mkazi wa Goba jijini,Serena Sanga(watatu
kushoto)Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa
kutuma neno “GO”kwenda namba 15544 aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa
moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa
kujibu maswali.
Mshindi
wa kitita cha shilingi Milioni 5/=kupitia promosheni ya”Kamata Mpunga”
inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Mkazi wa Goba jijini Dar es
Salaam,Serena Sanga ambaye ni mfanyakazi wa ndani(watatu kushoto)
akipokea kitita chake mwishoni mwa wiki toka kwa Mkuu wa Mauzo na
Usambazaji kanda ya Dar es Salaam wa kampuni hiyo,Domician
Mkama(kulia)wakati wa hafla fupi ya kuwakabidhi washindi mbalimbali wa
vitita hivyo.Kutoka kushoto ni Ofisa wa huduma za ziada wa kampuni
hiyo,Prestin Lyatonga na mshindi mwingine wa shilingi Milioni 5/=mkazi
wa Mwananyamala jijini, Evans Mwenewanda. Ili mteja aweze kushiriki
katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO”kwenda namba 15544 aidha
mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba
15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali.
Sekela Kanganda(wapili kushoto)pamoja na Winfrida Bernard(watatu kushoto)ambao ni washindi wa shilingi milioni moja moja kupitia promosheni ya”Kamata Mpunga” inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Wakifurahia baada ya kukabidhiwa pesa zao na Mkuu wa Mauzo na Usambazaji kanda ya Dar es Salaam wa kampuni hiyo,Domician Mkama(kulia)katika hafla fupi ya makabidhiano ya pesa zao walizojishindia kupitia promosheni hiyo mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Ofisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo,Prestin Lyatonga. Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO”kwenda namba 15544 aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali.
No comments:
Post a Comment