HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 11, 2016

LORI LAPATAMIA KINGO ZA DARAJA LA KIGAMBONI NA KUPINDUKA USIKU HUU

 Pichani ni baadhi ya mashuhuda wakiliangalia lori lililopoteza muelekea na kugonga kingo za daraja la Nyerere Kingamboni, na kupinduka usiku huu. chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika na haijajulikana kama kuna aliepoteza maisha au majeruhi katika ajali hiyo.
Muonekani la lori hilo baada ya ajali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad