Baadhi ya Magari maharufu kwa Jina la Tax ya kusafilisha Abiria kutoka Stendi Kuu ya Mabasi kwenda sehemu nyingine yakiwa yameegeshwa katika Sehemu yao yaliyo pangiwa katika Stendi hiyo ya Mkoa iliyopo Jijini Mbeya.
Baadhi ya Wafanyabiashara waliopo ndani ya Stendi hiyo Wakinadi Bidhaa zao kwa baadhi ya Abiria wanao fanya Safari katika Stendi hiyo..
Dereva wa Tax akimfuata Abilia...
Moja kati ya wapiga Debe wa Stendi kuu ya Mkoa wa Mbeya Akining'inia kwenye Basi lililokuwa likitoka katika stendi hiyo...
Baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo ndani ya Stendi hiyo ya Mkoa wa Mbeya wakiwa katika Sehemu yao...
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.
No comments:
Post a Comment