Washindi wa kwanza katika mchezo wa soka tamasha la PSPF
mjini Dodoma, St. Johns wakiwa na kombe lao katika picha na mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, (wapili kulia), na maafisa wa
PSPF, wakiongozwa na Afisa Masoko mwandamizi, Rahma Ngassa. (wakwanza kulia).
Tamasha hilo lilifanyika uwanja wa Jamhuri mjini humo Juni 5, 2016.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, (kushoto), akipokewa na Afisa Masoko
Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Rahma Ngassa, tayari kufungua tamasha
la michezo la vyuo vikuu kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Wachezaji wa UDOM wakimenyana na Chuo cha Mipango katika soka
Naibu waziri Anastazia Wambura, (kushoto), akikabidhi kombe kwa naodha wa timu ya Netiboli ya Chuo Cha Mipango
Naibu waziri akimpabidhi kombe nahodha wa timu ya soka ya ya Chuo Kikuu Cha St. Johns
Wachezaji wa timu za Voliboli wa UDOM na CBE wakimenyana
Msanii Banana Zoro akiburudisha wakati wa tamasha hilo
Timu ya soka ya CBE
Timu ya Voliboli ya CBE
Wachezaji wa Chuo Cha Mipango wakimenyana na wenzao wa UDOM katika Netiboli
Afisa Masoko Mwandamizi wa PSPF, Rahma Ngassa



No comments:
Post a Comment