Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akimsalimia Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akiwasalimia baadhi ya Maofisa wa Mamlaka hiyo, alipotembelea banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa SSRA, wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana.
Wafanyakazi wa SSRA, wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana.
Monday, May 2, 2016
Home
HABARI
RAIS MAGUFULI
RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA SSRA KATIKA MAONESHO YA MEI MOSI YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA JAMHURI MJINI DODOMA
RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA SSRA KATIKA MAONESHO YA MEI MOSI YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA JAMHURI MJINI DODOMA
Tags
# HABARI
# RAIS MAGUFULI
RAIS MAGUFULI
Labels:
HABARI,
RAIS MAGUFULI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment