Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF, Daud Msangi ambaye ndie
mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi akisisitiza Jambo wakati wa Mkutano
Huo, Uliofanyika makao makuu ya Mfuko huo, Jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wajumbe wa tawi la Tughe katika mfuko wa Pensheni wa
GEPF wakifuatilia agenda za mkutano zilizojadiliwa.
Timu ya wanachama wa tughe katika tawi la Mfuko wa GEPF pamoja na
menejimenti katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kikao cha tano cha
baraza la wafanyakazi.
No comments:
Post a Comment