Kamera ya Mtaa kwa mtaa yakutana na kijipu upele katika barabara ya Dunga Kinondoni jijini Dar es Salaam ikiwa na dimbwi la maji ambalo linaonekana kuwa sugu kwani sehemu hiyo imekusanya maji wakati wa kipindi cha mvua zilizokuwa zikinyesha.
(Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii).








No comments:
Post a Comment