HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 10, 2016

KIJIPU UPELE KATIKATI YA MJI WA BUKOBA MKOANI KAGERA



Hiki ni nacho ni Kijipu Upele katikati ya Mji wa Bukoba, Mkoani Kagera, kwani hii Barabara sasa imekuwa ni Kilio cha wanabukoba kwani kila Mwaka inatengenezwa lakini haichukui muda inaharibika. Ni Barabara ya lango kuu kuingia Bukoba mjini yaani ni karibu sana na Round about, kulia kuna ofisi ya TRA na kushoto ni lango la Stand kuu ya Mabasi yaendayo mikoani na pia mabasi ya Wilayani. Wakazi wa Bukoba sasa wanataka ijengwe haraka iwezekanavyo kwani kipindi hiki cha Mvua ni kero kubwa kwa waendao kwa miguu na pia kwa waendesha Magari kutokana na mashimo mengi yaliyojazana katika barabara hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad