Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utamaduni Bi. Lily Beleko kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo akisikiliza swali kutoka kwa mwandishi wa habari (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni yanayotarajia kufanyika Mei 21 mwaka huu.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utamaduni Bi. Lily Beleko kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni yanayotarajia kufanyika Mei 21 mwaka huu ,kulia ni Afisa Habari wa Wizara hiyo Bw.Benjamini Sawe.
Picha na Eliphace Marwa - MEELEZO.

No comments:
Post a Comment