"Safari
ya kutoka Ifakara kwenda wilaya za Malinyi na Ulanga ni ngumu kuliko
unavyoweza kuelezea, kukwama barabarani na kulala njiani sasa ni vitu
vya kawaida kama inavyoonekana hapa" Picha kwa hisani ya Vedasto Msungu
Technologies.
Baadhi ya Abiria wakijishughulisha namna ya kujinasua kwenye eneo hilo kutokana na hali halisi ionekanavyo pichani
Baadhi ya Abiria wakijishughulisha namna ya kujinasua kwenye eneo hilo kutokana na hali halisi ionekanavyo pichani

No comments:
Post a Comment