HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 1, 2016

WAZIRI JANUARY MAKAMA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu waRais- Muungano Mazingira, January Makamba akiongea na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria walipotembelea kukagua mradi wa ujenzi wa  jengo jipya la Ofisi ya Makamu wa Rais. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Mohamed Omary.
 Katibu Mkuu  Ofisi ya Mkamu wa Rais, Mbarak Abdulwakil akisoma taarifa ya mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Makamu wa Rais mbele ya Wajumbe wa Kmati ya bunge ya Katiba na Sheria (hawapo pichani) walipotembelea Ofisini hapo kukagua mradi huo.
 Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge na sheria wakisikiliza kwa makini taarifa ya mradi wa ujenzi wa  jengo jipya la Ofisi ya Makamu wa Rais iliyokua ikisomwa na Katibu Mkuu (hayupo pichani)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad