HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 20, 2016

NEWS ALERT: GARI LATELEZA KWENYE PANTONI NA KUZAMA MAJINI, WAWILI WADHANIWA KUPOTEZA MAISHA

Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Kikosi cha Maji wakiwa katika boti, wakati wa zoezi la kutafuta miili ya watu waliozama baharini asubuhi ya leo, baada ya gari aina ya Toyota Hiace kuteleza kutoka kwenye Pantoni na kuzama majini. Imedaiwa kuwa gari hiyo ilikuwa na watu wawili na tayari mpaka sasa mwili wa mmoja kati ya watu hao umeshapatikana mnamo majira ya saa tatu asubuhi ya leo, na bado askari hao wanaendelea kutafuta aliebaki.
 Zoezi la Uokoaji likiendelea.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad