HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 12, 2016

NDANDA KOSOVO KUZIKWA KESHO MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

Mwili wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Cosovo aliewahi kutamba sana katika Muziki wa Dansi hapa nchini kupitia Bendi za FM Academia na Stono Muzika, utahifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele katika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam kesho Aprili 13, 2016. 

Taratibu zote zitafanyika kuanzia kesho hiyo asubuhi ikiwepo misa ya kumuombea marehemu, kwenye nyumba ya zamani ya Balozi wa Congo nchini, iliopo maeneo ya Kinondoni Hananasif, jijini Dar es salaam.
TAARIFA ZAIDI TUTAENDELEA KUJUZANA KADRI ZITAKAVYOKUWA ZIKITUFIKIA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad