Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilipo kuwa katika Hafra ya Mualiko kwenye moja ya Ukumbi maarufu hapa Nchini Jina lake Kapuni, Ilikumbana na Shoo Matata kutoka kwa Mtoa Burudani alie pewa Shavu la Kuonesha Manjonjo kwenye Jukwaa na kufanya yake aliyo yaandaa kufanya kama ambavyo anaonekana katika Taswira pamoja na Siraha yake iliyo Ihakiki hivi Punde...
Saturday, April 23, 2016
Home
Unlabelled
MTOA BURUDANI AKIWAJIBIKA UKUMBINI...
MTOA BURUDANI AKIWAJIBIKA UKUMBINI...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment