Kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mengi hapa Jijini Dar, imepelekea huku Uswahilini kwetu kujaa maji kila kona, hali inayopekelea wakati mwingine tushindwe kutoka kwenda kwenye majukumu ya kila siku.

Kwa jirani leo kidogo kuna afadhali, maana maji yamekauka na akaamua kuanika na nguo nje walau zipigwe na jua.
Kwa Bwana Nanihii yeye ndio kaamua kuweka daraja mpaka ndani, kwani maji yakichachamaa hapo yanazama mpaka ndani.
Gadeni Ndogo ya Miwa.
Mchikichi nje ya Nyuma ya kina nanihii.
Gadeni.
Hivi ndivyo hali ilivyo.
Mama nanihii akitoka kuteka Maji bombani.












No comments:
Post a Comment