Wakazi wa eneo la Salasala, Jijini Dar wakiwa wakionekana wakitafakari namna ya kuvuka Mto Makurinza unaopita katika Mtaa wa Kuzidi, kutoka na kujaa kwake maji kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mengi hapa mjini.Picha na Emmanuel Massaka
Wengine waliamua kuvuka kwa mtindo huu, kutona na kutokuwepo kwa namna nyingine ya kuvuka Mto huo.
No comments:
Post a Comment