Mtaalam wa Jiografia
kutoka Chuo Kikuu Ardhi Dkt. Mlenge Fanuel Mgendi akiwahamasisha wanafunzi wa kidato cha Sita
wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani
kupenda kusoma na kuweka bidii katika masomo ambayo wana uwezo nayo ili
yawasaidie kuendelea na Elimu ya Juu katika chuo Kikuu Ardhi na vyuo vingine leo jijini Dar es
salaam. Chuo Kikuu Ardhi kinaendesha Programu ya utoaji elimu kwa wanafunzi wa
sekondari katika shule mbalimbali kwa lengo la kuwasaidia kufanya uchaguzi sahihi wa kozi za masomo
wanazotarajia kuendelea nazo pindi watakapohitimu masomo ya elimu ya Sekondari.
Thursday, April 14, 2016
Home
Unlabelled
CHUO KIKUU ARDHI CHATOA ELIMU NA MWONGOZO KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI ZA JIJI LA DAR ES SALAAM KUHUSU NAMNA YA KUJIUNGA NA MASOMO YA ELIMU YA JUU KULINGANA NA UFAULU WAO JUU
CHUO KIKUU ARDHI CHATOA ELIMU NA MWONGOZO KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI ZA JIJI LA DAR ES SALAAM KUHUSU NAMNA YA KUJIUNGA NA MASOMO YA ELIMU YA JUU KULINGANA NA UFAULU WAO JUU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment