HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 8, 2016

Waziri Mbalawa awataka wafanyakazi wawajibike kwa uadilifu.

Waziri wa  Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Makame Mbarawa akizungumza na wafanyakazi wa  Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. 
 
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wakimsikiliza Waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Makame Mbalawa (Hayupo Pichani) katika mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
 Picha zote na Ally Daud MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad